NDUGAI ASHINDA UBUNGE KWA KURA 264 SAWA NA 70% YA KURA ZOTE | BULOMBORA YETU BLOG
Breaking News
Loading...

Tuesday, November 17, 2015

NDUGAI ASHINDA UBUNGE KWA KURA 264 SAWA NA 70% YA KURA ZOTE


Mbunge wa Kongwa (CCM) Job Ndugai ashinda kiti vcha Uspika kwa kura 264 sawa na kura asilimia 70 huku mpinzani wake kupitia Chadema Goodluck Ole Medeye akipata kura 109 huku wagombea wengine wakipata kura 0.
NDUGAI anakuwa Spika wa Bunge la 11 la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

google+

linkedin

MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0768 260834. Soma Zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    IDADI YA WASOMAJI