INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAARIFA KUTOKA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA ZINASEMA KUWA WATU
WATANO KATI YA SITA WALIOKUWA WAMEFUKIWA NA KIFUSI KATIKA MACHIMBO YA
NYANGARATA KWA SIKU 41 WAMEOKOLEWA USIKU WA KUAMKIA LEO WAKIWA HAI.
KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA AWALI INASEMEKANA WATU HAO WALIKUWA WANAISHI
KWA KULA MENDE,MAJI,UDONGO NA MAGOME YA MITI MAARUFU KAMA MATIM...
READ MORE>>>>WALIOFUKIWA...
Monday, November 16, 2015
WALIOFUKIWA NA KIFUSI WILAYANI KAHAMA KWA SIKU 41 WAPATIKANA WAKIWA HAI,WALIKUWA WANAKULA MENDE UDONGO NA MAGOME YA MITI.
MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG
Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0768 260834. Soma Zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
POST A COMMENT