Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OR-TAMISEMI) inatangaza orodha ya watumishi 5536 wa Mamlaka za Serikali
za Mitaa waliokidhi vigenzo na kupata kibali cha uhamisho katika kwa
kipindi cha Desemba 2015 na orodha ya watumishi 91 wa Mamlaka za
Serikali za Mitaa ambao hawajakidhi vigezo vya kuweza kuhamishwa.
Vile
vile, OR-TAMISEMI inatangaza orodha ya watumishi 23 ambao
walikwishapata uhamisho awali na orodha ya majina yao hayakuonekana
kwenye mtandao na kupelekea kutokukamilika kwa uhamisho wao.
Barua za uhamisho wa watumishi...
Friday, January 15, 2016
HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015
AZANIA SECONDARY SCHOOL BWIRU BOYS SECONDARY SCHOOL CHIDYA SECONDARY SCHOOL
DUNG''UNYI SEMINARY LUTHERAN JUNIOR SEMINARY IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
ILBORU SECONDARY SCHOOL ITAGA SEMINARY IYUNGA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
MAFINGA SEMINARY KAENGESA SEMINARY KANTALAMBA SECONDARY SCHOOL
KASITA SEMINARY KATOKE SEMINARY KIBAHA SECONDARY SCHOOL
ST. JAMES SEMINARY KILIMANJARO BOYS SECONDARY SCHOOL LIKONDE SEMINARY
MAKOKO SEMINARY SECONDARY SCHOOL MALANGALI SECONDARY SCHOOL MARA SECONDARY SCHOOL
MAUA SEMINARY MOSHI SECONDARY SCHOOL MOSHI TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
MUSOMA SECONDARY SCHOOL MPWAPWA SECONDARY SCHOOL...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)