INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
AWAMU YA NNE YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha
waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuwa imetoa orodha ya AWAMU YA NNE yenye jumla ya waombaji wa mwaka wa kwanza 718 waliopangiwa mikopo.
Itakumbukwa kuwa wiki iliyopita, Bodi ilitoa orodha ya Awamu ya Tatu iliyokuwa na waombaji...
Tuesday, November 17, 2015
NDUGAI ASHINDA UBUNGE KWA KURA 264 SAWA NA 70% YA KURA ZOTE

Mbunge
wa Kongwa (CCM) Job Ndugai ashinda kiti vcha Uspika kwa kura 264 sawa
na kura asilimia 70 huku mpinzani wake kupitia Chadema Goodluck Ole
Medeye akipata kura 109 huku wagombea wengine wakipata kura 0.
NDUGAI anakuwa Spika wa Bunge la 11 la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. ...
SHARE!
Monday, November 16, 2015
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI CONTINUING NA FIRST YEAR WALIOPATA MKOPO AWAMU YA TATU 2015/2016
Lot 3 loan allcation to Continuing students for year 2015/ 2016 academic year
Created on 16 November 2015
Loan allocation for SUA continuing students who receive loans from Student loan board for the academic year 2015 - 2016
Read More
Lot 3 loan allcation to First year students for 2015/ 2016 academic year
Created on 16 November 2015
Loan allocation for SUA first students...
SHARE!
SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMANNE TAREHE 171/11/2015
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written her...
SHARE!
SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMANNE TAREHE 171/1/2015
I have set here headlines of various Tanzania News paper today, spend your time to read what is written her...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)