Wolper ajitapa kukwapua waume za watu | BULOMBORA YETU BLOG
Breaking News
Loading...

Saturday, November 28, 2015

Wolper ajitapa kukwapua waume za watu



11909365_1019538228091109_1424858031_nStaa wa sinema Bongo, Jacqueline Wolper .
Na Imelda mtema
MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.
Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siyo kuanza kuchongachonga tu kwa watu,” alisema Wolper.

google+

linkedin

MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0768 260834. Soma Zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    IDADI YA WASOMAJI